Talent2030
Senior Member
- Aug 23, 2016
- 112
- 298
Manispaa ya Morogoro inalazimisha gari zinazofanya safari ndani ya mkoa ziende zikapakilie stendi ya daladala Mafiga badala ya stendi ya Msamvu.
Zoezi hili limekuja baada ya Manispaa kushindwa kesi na kampuni ya Msamvu properties kuhusu uhalali wa kukusanya mapato ndani ya stendi ya Msamvu hivyo manispaa imeamua kuzitoa gari hizo na kuzipeleka mafiga kwa lengo la kipato.
Wamiliki na madereva wamegoma kupeleka gari Mafiga hali inayosababisha kero kwa abiria. Viongozi wa manispaa kaeni chini mjifikirie upya aliewapa wazo la kujenga stendi kule amewaingiza chaka.
Yaan abiria kutoka mikoani ashuke Msamvu apande daladala mpaka Mafiga akapande gari za Turiani au Gairo hii imekaa sawa kweli?