Hiki kikaratasi is always the last piece left,kwenye hii shughuli

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,768
19,303
13394139_10154214273567387_7041240507360509190_n.jpg
 
Haaa..haaa hio sabuni..achaa tuu..kuna wakati harufu yake inanikumbushia machungu na tabu za duniani saana na kuna wakati harufu yake inanipa faraja naona dunia kama jana.
 
Hiyo brand ni kiboko CEO wake anadai hata majengo na vyote vikipotea/ kuteketea hiyo nguvu ya hiyo sabuni inaweza kufanya wasimame tena.Je sie tuna brand yoyote ya kujivunia baada ya miaka hamsini ya UHURU?
 
Ukiona hivyo ujue hiyo sio fake. Zamani wakati nikiishi mpaka mwa Kenya na Tanzania, nilikuwa najua ni ya kutoka Kenya, lakini mbona hata Dar es salaam zipo !!
 
Haiwezi kufikia IMPERIAL original rafik,i hii ukiogea unasikia raha ya ajabu watumiaji wanaijua na hawathubutu kuchanganya na sabuni nyingine.Cha kusikitisha zipo na feki.

Hapo sikua naongelea ubora mkuu, nilijikita zaidi kwenye sabuni zilizodumu tangu enzi hizo, Imperial nzuri sana tatizo wakati mwingine harufu yake kali sana ikikuingia puani unaweza pata mafua kila unapoitumia.
 
Back
Top Bottom