Kigari cha kuchezea watoto hicho kitakua kipo Ali baba daah TRA wanatunyoosha tutakuja kuuzia magari ya mbao na Wachina wakati magari halisi tu sio bei shida NJ Kwao..
Hiyo ni zarau kwa mkeo, hamna gari hapo hilo ni torori.
Kama huna hela bora uvumilie tu kugongewa kuliko kujikaza kuleta taka bongo.
Hayo matoroli watoto wa nursery huko china wanaunda wakiwa wanacheza shuleni kwao.