Wamekuwa waizi sana.. ni vile hatuna namna sababu ya super net yao.
Mimi alhamis nimeunga Gb1.3 nikajiwashia WiFi kwenye desktop, kutuma vi email vya hapa na pale. Nikamaliza nikasearch kitabu flani google yan jumla hata sijamaliza masaa mawili naona ka msg ndugu mteja kifurushi chako cha internet kimekwisha.
Nikaunga tena kile buku mb 750 kusoma email .. ilikuwa ina files 2 za kudownload
Sijamaliza hata hizo mb nazo zikakata

Nikarudia kuunga cha 3k gb 1.3 leo mchana kimeisha.
Kabla ya hayo yote, tar 1 nimeunga jimixie cha 20k wanatoa gb 8.. email nikajitahidi nafungulia kwenye simu lakini wapiiii sijatoboa two weeks, tar 6 sina mb hata 1
Voda wanatufilisi sanaaaaa