.
Hija ni tendo lakiimani, Islam ni imani pekee inayozungumzia neno Hija ktk kitabu chake kama ni ibada yenye mipaka yakisheria. Imani nyenginezo hawana ibada ya Hija kwenye vitabu vyao! Ndio maana nasema huo ni utalii wa kidini tu!
.
Tukitaka kufahamu jambo lolote, turudi ktk source yake. Hakuna ubishi hija ni neno la kiarabu "Al-Hajj" ni yule alietekeleza ibada ya hija ambayo hufanyika Makkah tu!. Hatujapata kusikia Al haj kutoka Israel, ataitwa jina jengine sio Hajj kwani Hija hufanyika makka tu!
Bi Mgen vipi weye hivi mpaka leo bado haujafunguka waarabu wanawadanganya makkah ni utalii hakuna tofauti na mtu kwenda Ngorongoro,Manyara,Haifa,Bwagamoyo,Madina,New york,Cairo na nk.
.
Hija ni tendo lakiimani, Islam ni imani pekee inayozungumzia neno Hija ktk kitabu chake kama ni ibada yenye mipaka yakisheria. Imani nyenginezo hawana ibada ya Hija kwenye vitabu vyao! Ndio maana nasema huo ni utalii wa kidini tu!
.
Tukitaka kufahamu jambo lolote, turudi ktk source yake. Hakuna ubishi hija ni neno la kiarabu "Al-Hajj" ni yule alietekeleza ibada ya hija ambayo hufanyika Makkah tu!. Hatujapata kusikia Al haj kutoka Israel, ataitwa jina jengine sio Hajj kwani Hija hufanyika makka tu!
.imani yangu ina ibada ya hija na wala usidanganye watu hapa
kwa hiyo kiarabu hakina tafsir ya lugha nyingine??
usilete udni hapa bwana wengine sio anga zetu hizo....
niambie hicho kitabu changu ambacho haina mambo ya pilgrimage hapa maana naona unanifahamu kuliko nvojifahamu mwenyewe........
Kama umemfahamu mtoa mada hupaswi kunilaumu, hakuna udini hapa ni kueleweshana tu! Kama umeshindwa we achia tu. Unachojidi kukitaa ndicho kinacho kutesa!
Kwa hiyo hija ni utalii unaofanyika makka?
Kwa hiyo hija ni utalii unaofanyika makka?
Vyanzo vikuu vya mapato ya Saudi Arabia ni 1. Mafuta 2. Utalii. Sasa hiyo no 2 tafsiri mwenyewe kama hija au utalii(akili za kumezeshwa changanya na za kwako).
hija hufanyika sehemu moja tu ktk dunia, makkah mikusanyiko na ziara nyengine zote hazipaswi kuitwa hija , kwasababu hija ni matendo maalum yanayofanyawa sehemu maalum kwa wakati maalum. Kwahiyo huo ni utalii tu