Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,324
- 6,657
utoto wangu wote hadi napata uwezo wa kujisaidia mwenyewe, nilikuwa natitishwa hivi. wamama wa vijijini aisee wanapaswa kupongezwa. hawa wanawake wa siku hizi wanaojua tu pampasi, hata kuyashika tu wanaona kinyaa, nguo za mtoto anafua dada wa kazi.