Hii yetu wanaume.

Hii yetu wanaume.

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,624
Reaction score
40,190
Utafiti mdogo unaonyesha kuwa
kuna vitu vya kimsingi ambavyo
wanawake wanaangalia na kama
hivyo vitakosekana basi mambo
huenda yasiwe mazuri katika
uhusiano wenu.
Mwanamke anataka awe
APPRECIATED: Najua wengi
watashangaa kwa nini siyo LOVE
kwanza. Ukweli ni kuwa Wanaume
wengi wanaweza kumwambia
mwanamke I LOVE YOU lakini
hawam-APPRECIATE. Kuwa
appreciated ni sehemu muhimu sana
ya mahusiano ambayo mwanamke
anahitaji.
Mwanamke anahitaji “DEEP
EMOTIONAL BOND WITH A MAN”.
Wanawake wanataka spouse wao
waelewe feelings zao na wawe
concerned nazo. Na pia wanapenda
kujua Spouse wao wanaf hisia zipi na
wanapenda kushare hizo feelings na
emotions.
Mwanamke anataka Mwanaume
ambaye atafeel kuwa yuko
“FEMININE and SEXY”. Anataka
kuwa na uhakika kuwa yeye ni
mwanamke bora aliyekuvutia kuliko
wengine na kwa nini. So u must
make it clear to her very regular.
Vinginevyo anakuwa na wasiwasi. So
usisangae unaulizwa mara kwa mara
“hivi kwa nini unanipenda” they want
an assurance.
Mwanamke anataka mwanaume
ambaye ni ROMANTIC. Romance ni
ubunifu wa kimapenzi. Hili
halielezeki, ni namna ya kuwa katika
MAPENZI na FURAHA katika
mahusiano. Wanawake wanataka
wafanyiwe mambo mengi madogo
madogo ambayo yataendelea
kuwahakikishia kuwa kweli
wanapendwa na wanafurahiwa.
Wanawake wanataka Mwanaume
ambaye yuko CONFIDENT au
anayejiamini.
Wanawake Wanapenda kuwa na
uhakika kuwa wenzi wao ni
WAAMINIFU.
Mwanamke anataka Mwanaume
mwenye MIPANGO inayoeleweka
katika maisha na awe AMBITIOUS.
Mwanaume ambaye ni MBUNIFU.
Mwanamke anataka mwanaume
Mkarimu na Mtoaji na si mkono wa
birika. LOL.
Mwanamke anataka Mwanaume
ambaye hatakuwa Mwenzi wake tub
ali pia RAFIKI yake.
Mwanamke anapenda Kupendwa
hata kama amekuboa. Anataka
wakati wote atosheke Mentally;
Emotionally and spiritually.
Mwanamke anataka Mwanaume
ambaye atampatia SECURITY na
PROTECTION. That he will be there
when she needs him no matter what.
SOURCE: Dismas Lyassa
 
utafiti muruwa kabisa...lakin hapo kwenye mkono wa birika ni kwereee, mm naisi upendo ni zaidi ya pesa
 
uko sawa mno somo zuri kwetu tunaojua nini maana ya mwanamke
 
Jumlisha Pesa! Pesa ni care, Pesa ni real love, Pesa ni sabuni ya roho.
^^
 
Umejitahidi kuelezea

Lakini tatizo ni KISWAENGLISH.

story hata hainogi kabisa.
kama unajua ENGLISH kwa nini usiandike ENGLISH moja kwa moja

Au kiswahili
 
mpesa, tigo pesa, airtel money..... vinashika kasi sana kwenye mapenzi, mengine ni makelele tu!!! love ilikua zamani banah
 
lugha uliyoitumia ndio tatizo aisee, unanichanganya sana, nikizama kwenye kiswahili, mara nashangaa kiingereza kimeingia, kwahiyo sijaelewa somo lako.
 
Jumlisha Pesa! Pesa ni care, Pesa ni real love, Pesa ni sabuni ya roho.^^
.kabisa mkuu bila PESA hakuna LOVE..wataimba we na story zao za magazetini but mwisho wa siku pesa ikikupiga chenga jitoe mwenyewe kwenye uwanja wa mpenzi..
 
hapo kuna mawili ya ziada ambayo ni makubwa sana .........

nayo ni pesa na shughuli tamu kitandani.
 
yani nipoteze mda kumpa mwanamke mambo yote hayo? bora nitafute pesa tu, hayo mengine yatakuja...
 
Yeeah thats true it applies to me napenda mpenzi wangu anitreat hivo
 
Back
Top Bottom