Hii ya Wakristo wanaoitwa, The Pool of Siloum Church imekaaje? Mwenye kuwaelewa msingi wa imani yao anipe somo

Moja ya fundisho lao ambalo lilisababisha mwanzilishi wao afe ni kukufuru kwa kusema kuwa hawezi omba kwa jina la Yesu sababu Yesu ndie mwenye dhambi kuliko mtu yeyote duniani sababu alizibeba dhambi zote za Ulimwengu.Hawaombi kwa jina la Yesu kabisa wala kumuomba chochote Yesu
 
Duh!!that was to much aisee,imani nyingine hizi
 
Hao nawajua kiongozi wao mmoja ni mshkaji wangu wa yupo arusha kabla ya kungia church anapiga konyagi kwanza. Waumini wao wanajiita majina ya ajabu ajabu.
 
Hahaahah aisee ila wenzetu mnapotezwa sana akili daah ngoja ninyamaze nisije anzisha ugomvi
 
mzee wa upako K na konyagi zitammaliza yule baba,yaani kadhoofu kweli kweli
 
Back
Top Bottom