Hii ya mh. Pinda ni kali!

Hivi kumbe mpaka leo watu bado wananyonya mirija toka kwenye chombo kimoja?! Mtu akiamua kupulizia mate badala ya kunyonya hiyo pombe si anawaambukiza wenzie maradhi kirahisi sana? Kweli hii kali!
 
atakuwa anapasua ie 280,000 yake ya posho ya jairo

Umeona hee! Nae fisadi japo anajifanya mtoto wa mkulima angekuwa hivyo si angekuwa mstari wa kwanza kuwatetea wakulima
 
Pinda gamba jingine ndani ya chama cha majambazi
 
Umeona hee! Nae fisadi japo anajifanya mtoto wa mkulima angekuwa hivyo si angekuwa mstari wa kwanza kuwatetea wakulima

Pinda Ni mtoto wa mkulima yule wa Igunga.
 
..shetani anatesa kweli!

Acha ujinga wewe shetani ulimwona wapi? hapo watu wanafurahia maisha huoni makamu raisi amejawa tabasamu. hii akili ya kutopenda watu wawe na furaha haifai kabisa, waache wabantu wafurahie ubantu wao, wazungu na uzungu wao na waarabu na uarabu wao. Hatutaki utumwa hapa ebo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…