Hii ya Kenya Nimeipenda

kwa hao wakenya wanamaendeleo gani? mbona tunawaona huku kwetu wakija kuomba ajira? kwa nini wasikae huko kwao kama mambo ni mazuri? umeshawahi kumuona msaudia arabia au mmerekani akija bongo kuomba ajira? poor analysis.

Magamba mnatokwa povu balaa.
 
hakuna nchi wananchi wake wana shida kama kenya.. wananchi hawana ardhi,ardhi yote uhuru kenyata amejimilikisha. wakenya wana shida sana ndio maana wanakuja tanzania kutafuta vibarua
 

KWAHIYO HUU MFUMO WA ELIMU MBOVU CHANZO NIYEYE??kafanya mengisana huyu mzee kuisaidia hii nchi hususan ni katika swala la elimu tatizo sisi ni wengi wakulaumu tukiitwa kama wadau kwenda kutoa michango yetu tuweze kuiinua sekta ya elimu,tunaishia hukuhuku kwenye midia kutoa lawama..wewe mwenyewe unaweza kukuta huna hata jirani anaye soma katika hizo shule wote mme wapeleka shule mnazoziita za viwango mkija humu JF lawama kama mmerogwa,kutoa basi hata majibu njia zipi zinaweza kuboresha hakuna lawama tuuu...i believe one day Bongo will change whether CCM rule or a certain political party we need to eliminate that top layer first hiyo top layer haiko chama tawala pekee kama wengi mnavyo amini hata upinza ipo,we need committed leaders sio hawa tunaoa waona ndo kina Mussa na Masiha wa hii nchi
 
Ccm waliwaagiza kuanzia Mawaziri,Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya kutoa taarifa kila baada ya miezi ni nini wametekeleza kupitia Redio/Tv za Mikoa husika wananchi wajue.

Chaajabu hata hilo limewashinda maana wataeleza copy & pest kila mara.
 

Ni ujinga tu uliokufunga lakini ukifikiri utagundua yote uliyoorodhesha ndio government self appraisal yenyewe.
 
Magamba mnatokwa povu balaa.
Umeona mkuu eeeeh?

Yaani hata kwa vitu ambavyo viko wazi jamaa yanatoka mapovu tu Shenz.y type kabisa haya majitu. Ukweli ni kwamba wenzetu wako smart huwezi linganisha na upuuzi wa ccm. Semina zimekuwa zikifanywa Ngurdoto lakini hatuoni tofauti.
 

Lumumba team
 
hakuna nchi wananchi wake wana shida kama kenya.. wananchi hawana ardhi,ardhi yote uhuru kenyata amejimilikisha. wakenya wana shida sana ndio maana wanakuja tanzania kutafuta vibarua

This is why Tanzania is among the countries with people who posesses low IQ,nani alikuambia ya kwamba Kenya hakuna mashamba,Tzns have this stereotype. Huwa mnapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kuhusu hili na viongozi wenu ndiyo liweje? ndiyo msiwaulize wanapowaibia ama? Tembelea Kenya wewe! Kuna wakenya laki sita US idadi kubwa kuliko walioko tz sababu ya ajira so its coz they are daring and nothing else.
 
Kama mnaenda kenya msiishie nairobi pekee yake,ingieni mpaka ushagoo na mikoa mingine muone miundo mbinu yao ilivyo ya ovyo ndipo muone kati ya tz na kenya wapi kwenye nafuu.
 

So low IQ is confined to Tanzania alone?you statement is like saying Tanzania is among the country with day and night. Only a quasi-lunatic or a guy with IQ of chipmunk could construct such a self contradictory statement.
There are a lot of low IQ'd individuals in each and every country in the world, your construct is so wrong i feel down just to reply to you. But someone had to make the record straight.

Ukubwa wa eneo la Tanzania ukilinganisha na eneo la Kenya, si jambo la ajabu kuona mTanzania akisema Kenya hakuna mashamba mengi, ni kwa sababu amezoea TZ watu waastawisha mahindi kuanzia kisarawe(pwani ya mashariki) hadi Kasulu.

Mzungu kusema Tanzania kumejaaliwa uoto wa asili na wanyama wengi hakumaanisha huko kwao hakuna kabisa, wanayo misitu mingi ya kutosha. Sema tuliyonayo sisi imezidi,ni mingi zaidi( comparatively).

Kuwa na wakenya wengi USA sio kigezo cha maendeleo, especially pindi wakenya hao wakijaribu kw anguvu zao zote kutokuhusuishwa na ukenya wao.Tunaoishi nao huku ughaibuni tunajua Tabia zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…