Hii ya bajeti ya 2012/2013 imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ya bajeti ya 2012/2013 imekaaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lion's Claws, Jun 23, 2012.

 1. L

  Lion's Claws Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bajeti ya mwaka 2012/2013 imepitishwa kwa mbunge mmojammoja kusema ndiyo au hapana je hii imewatendea haki wabunge ambao hawakuwa tayari kupitisha lakini kwa kuwa anatamka live ataogopa kusema hapana. Naomba tujadili kidogo.
   
 2. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,674
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Huu ndiyo mfumo bora wa kupiga kura bungeni.
  Voting records za wanasiasa, hasa legislators ni kipimo kizuri sana!!
  Mngewauliza wabunge wenu wa CDM voting records zao walipokuwa CCM, je walipitisha miswaada kama ya kuuza viwanda vyetu,miswaada ya madini, banking, pharmaceutical regulations,local governments etc...
  Kama walipitisha, kwanini?
   
 3. r

  raha54 Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So bajeti imepita or what!
   
 4. K

  Kwachirakido New Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wabunge wako huru kusema ndiyo au hapana hakukuwa na ushawishi wowote utarstibu ulikuwa mzuri na umetuwezesha kujua wanafiki
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nimeipitia bajeti yote ya mwaka 2012/2013 ile ya Serikali ya JMTz na ile ya Kambi rasmi ya Upinzani (Chadema). Kama utaziangalia zote kuna makosa ya kinadharia na usahaulifu mkubwa wa mambo muhimu.
  Nimeipenda sana ile ya Serikali JMTz kwani imekidhi karibu vigezo vyote kwa kuonyesha wazi vipaumbele vake na mchnganuo nw mwelekeo wake.

  Kosa nililolibaini ni kuwa ni imetenga pesa nyingi sana kwa matumizi ya kawaifa (70%0 na kuweka kidogo pesa za maendeleo (30%).

  Nikizungumzia pesa za maendeleo zimelenga sana KUKUZA uchumi na kuelekeza pesa kidogo sana katika KUONDOA umasikini.

  Tukumbuke kuwa haya yote mawili yanatakiwa yaende sambamba yaani Kukuza uchumi na kuondoa umasikini.

  Nafikiri Seikali ingesikiliza ushauri wa kupunguza pesa za Anasa na kuzielekeza kwenye maendeleo hususan kuondoa umasikini kwa wananchi wake.
   
 6. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Umetumwa wewe si bure
   
Loading...