Hii wiki mbaya kwa mashabiki wa Yanga

Hii wiki mbaya kwa mashabiki wa Yanga

Dah mnaonaje aibu, nafikiri matumizi ya Computer yanawapa changamoto kidogo otherwise mgnezifuta hizi msges zenu kwani Jaja kawaumbua sana jana.

Kumjudge Jaja kwa mechi 1 ni kutoutendea haki mpira. Bahanuzi wenu yuko wapi sasa? Alianza hivi hivi, ila ligi ilipoanza tu akawekwa kapuni. Hata huyu Jaja, tunamhesabia siku.
 
Kumjudge Jaja kwa mechi 1 ni kutoutendea haki mpira. Bahanuzi wenu yuko wapi sasa? Alianza hivi hivi, ila ligi ilipoanza tu akawekwa kapuni. Hata huyu Jaja, tunamhesabia siku.
Bahanuzi ni Bahanuzi Kaka,lkn kwa huyu Jaja mtahesabu sana siku labda mu'mroge
 
Back
Top Bottom