balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,371
- 13,769
Katika familia ambako baba ana mtazamo wa kukosoa utaratibu unaotumika wakutuhumu,kuhukumu na kuadhibu hapo hapo ,mama yeye ni shabiki wa utaratibu huo na anakuwa kama anamlingishia baba utafikiri labda baba naye katajwa.Kidogo hali ilibadirika mama akawa mbogo na kumrushia baba kashfa mbaya.Baba akajiuliza huyu mke wangu mbona anamshabikia sana nyampara imekuwaje.Ilikuwa patashika ,nguo kuchanika.