fukwe safi sana
Ulongo mtupu, hii picha ni ya kawe beach, imepigwa kutoka kawe club na island ndogo inayoonekana ni karibu na bongoyo/slipway.Flickr 上 Carel Ris 的 Beach near Paje Flickr 上 Emmepi79 的 Blue Paradise in Zanzibar Flickr 上 Zé Eduardo... 的 Zanzibar Mnemba island Flickr 上 Egui_ 的 Even goats and cattle like to go to the beachMIPHOTO ZAIDI GONGA HAPA http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=803392&page=17
unamaanisha picha ya mwisho chini mkuu? hata mimi sina uhakika wa location ya hiyo picha ila za juu zote ni 100%Ulongo mtupu, hii picha ni ya kawe beach, imepigwa kutoka kawe club na island ndogo inayoonekana ni karibu na bongoyo/slipway.
yenye ng'ombeunamaanisha picha ya mwisho chini mkuu? hata mimi sina uhakika wa location ya hiyo picha ila za juu zote ni 100%
hii nzuri, utafikiri siyo dsmTatizo kwetu huku beach zimevamiwa na wahuni. Huko Huko Kigamboni maeneo ya Buyuni na Pemba Mnazi kuna beach nzuri nazo ziko mikononi mwa wahuni/wahujumu
Ulongo mtupu, hii picha ni ya kawe beach, imepigwa kutoka kawe club na island ndogo inayoonekana ni karibu na bongoyo/slipway.