Hakuna anayewakataa hao watu tatizo ni pale wanapojipangia....unapangaje kuwa bil 20 ni 51 share? Je hakuna uhuru wa mtu mwingine kuweka dau zaid?Moo kununua 51% kwa 20bn hamtaki, Manji kukodisha timu hamtaki. Mnataka nini watanganyika? Mmekuwa watu wakulalamika kila kitu bila kutoa mapendekezo au suluhisho mnasubiri mambo yaharibike ili mfanye kile mnachojua kulalamika.
Toa mapendekezo yako
Kuna katazo kwamba mtu mwingine hawezi kupanda dau!? Kama yupo si ajitokeze, hajawahi jitokeza mtu na hatojitokeza mtu. Wazee wa simba wanagoma Sababu kuna ulaji wanapata kupitia Simba. Wanakuja na mapendekezo mufilisi eti Mo achukue 40% kwa 20bn wao bila hata cent moja wachukue 60%. Huu ni upuuuziHakuna anayewakataa hao watu tatizo ni pale wanapojipangia....unapangaje kuwa bil 20 ni 51 share? Je hakuna uhuru wa mtu mwingine kuweka dau zaid?
Pili unajikodishaje timu kienyeji ivyo? Tena bure? Inamana team haina thaman yoyote?
Yanga wawe makini, huyu jamaa aliwatapeli waislam kiwanja mpaka Leo.Mwenyekiti wa timu anaitisha mkutano wa dharula bila kufata katiba
Mkutano unahusisha wanachama wa dar pekee ila unafanya maamuzi wa Tanzania nzima
Mwenyekiti anavua kwanza uanachama watu kadhaa ili kutishia wengine wasimpinge
Analeta ajenda ya dharula kuwa timu inapaswa kukodishwa ili ien deshwe kisasa
Haweki vigezo vya mtu kutimiza ili aikodi labda kuna wengine pia watakuwa interested
Anajipa mamlaka ya kukodi team bure bila hata kutoa sumuni(hata ukumbi ukikodi unalipia jaman)
Anawadanganya wanachama kuwa team ilikuwa inajiendesha kwa hasara wakati yeye ndiye mwenyekiti(kama inajiendesha kwa hasara je muuza duka anaweza kumuomba bosi wake akodi duka lake wakati yeye ndo huwa anauza na anajua duka lile halina faida zaido ya hasara?)
Anatengeneza mkataba mwenyewe
Anataka ausain mwenyewe pande zote mbili za mwenykiti wa timu anayeruhusu timu ikodishwe na sehem ya mkodishaji
Anawaaambia watu hana shida na uwanja wala jengo( kwani timu ni uwanja na jengo au nembo na timu?) maana hata awaachie jenngo lile mtafanyia nini? Uwanja ule nani anaweza japo ukodisha aweke kigodoro pale?
Tuseme ukwelo sisi watanzania ni wajinga sana aiseee
Me naona tuache kuipigia kelele serikali kuwa inasain mikataba mibovu ya madini na gesi wakati sisi mkataba wa kijinga kama huu ambao upo wazi tumeshangilia usainiwe
Halaf alivyo na akili ndogo anawaambia ataendesha timu na faida 75 ni yake na 25 yenu....miaka miwili kawaambia timu inajiendesha kiharasa ivi miaka 10 hiyo pia akiwaambia timu ilikuwa inajiendesha kwa hasara mtakataaaje? Ye ndo mwenyekiti na mwenye timu
Ukweli sisi ni malofa
Dewji ama Manji? Au Dewji kaamua kubeba zote mbili?Ni kweli hili jambo linahitaji kujadili na kutolewa maamuzi ambayo yatatoa dira ya maendeleo ya miaka 10 au zaidi.Dewji si mwarobaini wa matatizo ya Yanga bali yeye ni sehemu ya matatizo ya Yanga kumwachia timu kijanja janja ni sawa na kutafuta tiba ya malaria wakati mgongwa anaumwa TB.
Dewji ama Manji? Au Dewji kaamua kubeba zote mbili?
Kama huyu?nasikia huko msimbazi mmekua sio simba tena bali ng'ombe kila mtu moo
Mwenyekiti wa timu anaitisha mkutano wa dharula bila kufata katiba