Naomba nijibu kwa nadharia yangu....but mi sijawai kufunga.
Zaman siku za Nyuma nilkua nahangaika kuwashangaa wanaume ambao mkikosana anakublock wasap???...nilikua nashangaa Sana coz nilizoea kuona wanawake ndo wanafanya hivo??
Au nilikua nawashangaa wanaume wanaosema mie, wanajibu text p badala ya powa!!
But mida iliposonga nikagundua nilikua na ufinyu wa tofauti, hulka na silka za watu....Tunajudge negative kwasababu tunatumia experience,mitazamo na tabia zetu Kama reference wakat tukisahau Kuna makuzi ,hulka,na silka tofauti....
Na kua negative ni tabia ya binadamu....so sometimes kile tunachokihisi huwa TUNAWEZA au tusiwe sahihi lakini kujihakikishia tupo sahihi n wendawazjmu....
Nikiacha mtazamo hasi au mihemuko
Sababu yaweza kua ni malengo tofauti na matarajio hasa ya kuwa na acc ya jf
Inawezekana alifungua kwaa ajili ya kusoma habar n c kuchat au kujua na watu...
Au hayuko interested kujuana na watu wa mitandaoni
Kwa mindset hyo mtu anaweza kufunga PM yake!!...
Mind you nishawai ona mtu Ana notification 100 za DM intagram na hazifungui Wala kusoma...yaan haon haja Wala curiosity
Wakat wengine ikiingia text n kuifungua hapo hapo
Mi nafunga watu uzazi tu, vingine namwachia MolaNifundishe kufunga PM jamaniiiiiih mmmmmh lol.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hizo dhambi sasa lolMi nafunga watu uzazi tu, vingine namwachia Mola
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hizo dhambi sasa lol
Kwahiyo ipo wazi nije?Kuna kipindi wale jamaa wasiojulikana walikuwa wanakuja kwa gia mbalimbali ikiwemo ile ya sweet pot. Hata mimi nilifunga [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa kupiga nyungu huhuhuhTuendelee kujifukiza
Hebu usinipe hati ataki mwenziyo. Kutembelewa na mgeni wa hadhi yako mbona parefu sana? Kwanza utakaa wapi? Nitakulisha nini miye? Utaleta dhoruba moyoni mwangu afadhali tu usije [emoji16][emoji16][emoji16]Kwahiyo ipo wazi nije?
Kwahiyo unanifukuza kijanja eeh?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hebu usinipe hati ataki mwenziyo. Kutembelewa na mgeni wa hadhi yako mbona parefu sana? Kwanza utakaa wapi? Nitakulisha nini miye? Utaleta dhoruba moyoni mwangu afadhali tu usije [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1511202
Majibu yako yana degreeKuna dili kule Mbezi Beach nataka niwapeleke Jumapili
Umezidi kuwa na mivuto, wacha tu akusumbue, hamna namnaMiss Natafuta acha kusumbua PM!
Naogopa mgeni ukiondoka utakwenda kueneza ufurushi wangu ila karibu sana. Kwangu ni kwako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwahiyo unanifukuza kijanja eeh?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Naogopa mgeni ukiondoka utakwenda kueneza ufurushi wangu.
Hahaa inatakiwa aje hapa jukwaani then anipe signal kuwa tukutane pmBrother imebidi nicheki kama umefunga PM๐๐๐..
kuwa fair na faragha za watu maana si kila mtu anaweza chat na wewe jukwaani tu
Mzee inakuwa process kama unaeka appointment na Rais.. fungua hiyo PM [emoji16][emoji16]Hahaa inatakiwa aje hapa jukwaani then anipe signal kuwa tukutane pm
We mwanamke!!Hahahah wamekujibu nini eti buji
Abeeeh auntie [emoji1787][emoji1787] hivi hao wanaume wanaofunga pm wanaogopa nini jamani tusiwatongoze au ebu niulizieWe mwanamke!!
Auntie kwanza ulifichwa wapi?Abeeeh auntie [emoji1787][emoji1787] hivi hao wanaume wanaofunga pm wanaogopa nini jamani tusiwatongoze au ebu niulizie