Hii Tuzo Waziri anahusika.

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,815
Reaction score
40,421
Kama siyo uhusika WA moja Kwa moja basi Uchawa umeingia michezoni rasmi.
 

Attachments

  • 20260510_121713.jpg
    147.1 KB · Views: 22
Hiyo tuzo inahitaji maelezo ya kutosha sana ili iwe na uhalali.
 
Tuzo za TFF hadi leo hazijatoka, BMT wameeleza kwanini Simba wamepewa tuzo. Huwezi kulinganisha mashindano ya ndani
 
Nchi ngumu hii kama Kishindo cha Wakoma.
 
Real Madrid ni team kuwa duniani sio kwasababu ya laliga ila ni kwasababu ya mashindano ya nje
 
Sababu mbona zipo wazi, wameangalia mashindano ya kimataifa sio haya ya ndani ya kununua mechi ivyo msilalamike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…