Hii tuiita ni tax au trekta.

Hii tuiita ni tax au trekta.

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
14,742
Reaction score
46,084
article-2257030-16BC2173000005DC-887_964x632.jpg
nafkiria cha kuandika nikikipata ntakuja!!!!!!
 
watu wanaweza kupoteza nguvu zao kupandisha mizigo juu ya gari for just a pic? dont underestimate the lives of some people
 
Umenena vyema mkuu. Ukuangalia attachment ya pili inaonesha kweli wapo safarini hawa
 
watu wanaweza kupoteza nguvu zao kupandisha mizigo juu ya gari for just a pic? dont underestimate the lives of some people

sasa wewe kwa utashi wako wote umeona pic ya kwanza na pili then ukazichambua ukaona hapo ni ''just a pic'' let me help u, 1st pic inaonesha gari iko kwenye lami, 2nd pic inaonesha iko kwenye vumbi tena iko kwenye mwendo angalia mtimko wa vumbi wala iyo sio pic effects.
 
Arusha 2015. Waarusha watatimua vumbi na Wachagga kutawala jiji kisiasa. Waarusha amkeni kudefend jiji lenu la sivyo mtajikuta mnapambana na waloliondo kwa kipisi cha ardhi
 
what are you talking about!!
 
Back
Top Bottom