Yaonakena ni kitu cha kawaida sasa lakini ingelikuwa kwenye nchi ambazo zilishaonja joto la vurugu kila mmoja angelikuwa ndani mwake.
Kwa mujibu wa Majid hiyo ilikuwa ni moja ya mitaa ya huko Temeke ambapo aaskari huyu alionekana kikatiza na mtutu na wala hana habari na mtu huku akicharaza story na mwenzie.
Mkuu hii nchi bado ni ya wachache maana hao sio kwamba wanasaidia utulivu laa hasha maana huenda hapo nyuma tu mtu kakabwa na hawatoi msaada wowote zaidi utaambiwa kuna sehemu pameibiwa akaona nae apite wajue uwepo wake