Hii Tanzania haitoendelea kama hakuna mikakati

Willy T

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
253
91
Habari wanajamvi natumahi mko salama kabisa

Kama kichwa kisemavyo kwamba Tanzania ya Leo haitoweza kuendelea na kufika mbali kwa kuwa hatuna mikakati thabiti na mipango

Hii Tanzania watu wanachekelea wenzao kutumbuliwa majipu kweli?
Sawa akitumbuliwa sisi tunafaidika nini?
Sawa wakishushwa mishahara sisi tunafaidika nini? Ebu tukae tujifikirie alafu hatuwezi kumfukuza mtu mjini kisa hana Kazi wakati hujamtengenezea mazingira rafiki kijijini ili apapende
Apate ruzuku,

Alafu kwanini hadhabu ya kulima usifutwe mashulenii,,, kwa afrika hadhabu ya mtu aliyekosa ni kulima wakati mtu huyooo unamfundika kilimo ni uti wa mgongoo

Tuanze na
Elimu na afya
Utamaduni na mazingira
Ardhi itumiwe ipasavyoo
Vijana na wakina mama washirikishwe kwenye mambo ya kimaendeleo
Serikali isiingilie mambo ya uchumi Sana'a hadi kusababisha mporomoko wa uhitaji na usambazaji

Maisha ya watu wote yamekuwa magumu hadi kufika mahali watu wanatumia pesa bandia kuweni makini na biashara Zenu

Akhsante
 
Mkuu, unataja tu tuanze na elimu, afya, utamaduni n.k (Kama mikakati?) lakini hujachambua tuanze kufanya nini. Toa mawazo yako kwa uwazi nasi wengine tujifunze kitu kipya. Tufanye nini katika maeneo hayo?
 
OK! Elimu ipewe kipaumbele na kama Elimu ya sayansi kwetu ni ndogo wapewe watu scholarship waende njee alafu kila mmoja asomeee fan anayotaka na awe bingwa kweliii na ikiwezekana afanye Kazi mwaka mmoja baada ya hapoo arudishwe nyumbani
Sasa atakiwa bingwa wa mambo Fulani labda gas, afya ya Kansa, afya ya operations.
Iko hvyooo

Na kilimo watu wapewe Elimu safiii wapewe usaidizi wa pesa alafu serikali iwasimamie ili baadae wapate mazao ambayo yataweza kukithi taifa na baadae tuyapeleke nje ya nchi,

Turuhusu import kwa miaka labda 4 kwa mkataba kwamba baada ya hapo watajenga viwanda au kiwanda ndani ya nchiii........
 
Back
Top Bottom