Hii Tabia ya wana ccm inakera sana

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Hii Tabia ya wana ccm inakera sana;utawasikia wana ccm wakisema mwaka huu chadema watapata wabunge wengi kuliko ccm lkn urais hawapati,kwani wao ni wapiga kura?
 
Wana ccm wapo milioni sita,wanaotarajiwa kujiandikisha wanaweza kufikia milioni ishirini.
Hapo inahitaji tafakuri yakinifu kujihakikishia ushindi kama mtu unajielewa.
 
Wana ccm wapo milioni sita,wanaotarajiwa kujiandikisha wanaweza kufikia milioni ishirini.
Hapo inahitaji tafakuri yakinifu kujihakikishia ushindi kama mtu unajielewa.
 
Na ndiyo maana jana JK aliwaambia wanaCCM kuwa hata wapinzani wanahaki ya kuongoza Tanzania tena wako wazuri zaidi kuliko CCM.
 
CCM watatujua mwaka huu kauli zote watazificha mifukoni mwao pale meli itakapoanza kuzama na vilio vikisikika kwa nguvu.
 
Nasikitika sana watanzania karibia wote wamesahau juu ya maoni yao ya katiba kuchakachuliwa na ccm...

Hawajasahau kiongozi. Kuna nondo nzito sana pamoja na hilo watajuzwa nakuongezewa elimu yakujitambua hasa pande za vijijin pindi kampeni zikianza
 
Back
Top Bottom