Hii tabıa ya serıkali kukanushu taarıfa kuhusu ukwelı ulio wazı wa mambo yanayotokea kwenye jamii, ni uhunı unaofedhehesha taifa.Hii hali ınawafanya hata wananchi kutokuheshimu serikali.
Mfano,wakatı wa kuhamasisha ujenzı wa laboratorıes mashuleni,serikali iliwaagiza Wakurugenzi wa halmashauri zote kuhakikisha kila mwalimu anakatwa kiası flani cha hela toka kwenye mshahara wake kuchangia ujenzı huo.Utekelezaji ukaanza na taarifa zikaenea zaidi serikali ikilaumiwa kukata mishahara ya walimu, akaibuka Majaliwa Kassım(NW-TAM) akakanusha vikali huku akitokwa na ngita na kupoza koo kwa maji,"Hakuna mwlm atakatwa mshahara wake kwa ajili ya maabara na hakuna mkurugenzi ameamriwa kufanya hvyo"!!"Naomba tena niwatahadhalishe wakurugenzi,hakuna kukata mishahara ya walm kwa ajili ya lab"!Wakati huo zoezi linaendelea!
Juzi juzi tu shule za sekondarı nyingi kutoka halmashauri tofautitofauti zimefungwa kwa kukosa chakula.Baada ya taarifa kuenea na kuwa gumuzo mitaani,akaibuka Ghasia Hawa,"Hakuna tatizo la chakula mashuleni, na serikali inatuma fedha ya chakula kila mwezi", alitoa na takwimu."Kwanza mkuu wa shule haruhusiwi kufunga shule,na tumewaagiza wakurugenzi watuletee maelezo ni kwa nn wakuu wa shule wamezifunga shule?"
Ukweli uko wazi, Waziri anajua chakula hakuna na watu wanajua wana wakuu wa shule na walimu ni sehemu ya jamii tunakaa nao. Kauli za aina hii nyingi na zinakera.
Embu mManzania ,Piga moyo Konde, Tumia kura yako Oktoba, ondoa hawa watu madaktari.