Hii tabia nimeacha

Sielewi inakuwaje una mzigo km huo halafu wife hajui. Huyo mke namshangaa sana. Mke anatakiwa kujua kila kona ya nyumba yake. Mume mara nyingi ndo hajui vitu vilipo. Ht ukificha hela chini ya mto anaoulalia kila siku hatagundua, labda km umezificha nyumbani chini ya ardhi
 
Nilikuwa nawaza la kukujibu, lakini niliposoma ID yako nikagundua una haki ya kuandika thread ya hivi!
Ngoja niwaite Ntuzu Simiyu Yetu ama Evelyn Salt waje watusaidie tafsiri ya jina/ ID yako!
 
Last edited by a moderator:

Zipo darini ila huwa nazichek kila baada ya mwezi, namdanganya kuna shot ya umeme naangalia
 
Chemsha unywe maji yake ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume.
 
Daaah,
Hii nayo ni kali;
Zitoe ukatupe hukooo,
Jua kuna kufa ghafla,
utaacha watu wakuweke kwenye vitabu vyao vya kumbukumbu.
 
Kuna duka moja liko njiani (highway) nilienda watu wametundika vyupi na kofia kama kumbukumbu kwa wasafiri wanaokula pale. So we zitundike sebulen kwako huku ukizilebo majina iwe memory

Hahahahahahaha!!!!!!
 
zipo darini ila huwa nazichek kila baada ya mwezi, namdanganya kuna shot ya umeme naangalia

naona wewe hajauoa bado na kama ingekuwa hivyo basi ushazichoma tayari. Nakushauri tafuta muda mwafaka zichome kuna siku utakuja juta. Utarudi kwenye mihangaiko yako mkeo kaziweka sebuleni sijui utamwambia nini.
 
Mpe zawadi mkeo...musapraizi siku akiwa hospitali umpelekee kwa bedi umwambie ni zawadi yake katika kipindi hiki kigumu! kuhusu kuumwa muwekee kasumu kidogo ambako hakawezi kumuua kwa fudi kisha mupekeke hospitali na umpelekee hiyo jifti wakati akiwa kwa bedi na dripu plazi oksijen containa..! hapo kajifti lazima kanoge..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…