Angekupigia akukopeHabari ndugu zangu, kuna Hii tabia Yani unakuta mtu yuko kmya either mpenzi au rafiki ila siku ukimtafuta tu Kosa hapo hapo anakuomba hela Yani Cjui Hii imekaaje sasa unajiuliza usingemtafuta ingekuaje ? Ebu tuwatafakari watu Kama hawa
sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
Hii kwa kweli ni tabia mbaya kupitiliza...Habari ndugu zangu, kuna Hii tabia Yani unakuta mtu yuko kmya either mpenzi au rafiki ila siku ukimtafuta tu Kosa hapo hapo anakuomba hela Yani Cjui Hii imekaaje sasa unajiuliza usingemtafuta ingekuaje ? Ebu tuwatafakari watu Kama hawa
sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
Pole sana. Amekufanya wewe kuwa ATMHabari ndugu zangu, kuna Hii tabia Yani unakuta mtu yuko kmya either mpenzi au rafiki ila siku ukimtafuta tu Kosa hapo hapo anakuomba hela Yani Cjui Hii imekaaje sasa unajiuliza usingemtafuta ingekuaje ? Ebu tuwatafakari watu Kama hawa
sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
Ttzo sio kwamba hauwez kusaidia ttzo ni kwamba mnapotezana maybe 1 month cku unayomtext kwamfano akishajib text inayofata anaomba hela hio ni ttzoSasa si mambo ya kawaida tuh hayo!saidia unapoweza,kama hauwezi unamwambia tuh!
Me huwa namjibu simple tu ''Tatizo huwezi kula na kipofu''Habari ndugu zangu, kuna Hii tabia Yani unakuta mtu yuko kmya either mpenzi au rafiki ila siku ukimtafuta tu Kosa hapo hapo anakuomba hela Yani Cjui Hii imekaaje sasa unajiuliza usingemtafuta ingekuaje ? Ebu tuwatafakari watu Kama hawa
sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app