Me moja hua ina kaa ndani gari nikifika home nai acha kwenye dash board naingia ndani msafi kma WCBGharama zote za nini mkuu, kwanza ndio atakuona unachepuka, pia na hiyo ataikagua tu wakati upo usingizini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tabia hii ikome na ife kwa jina la bwana.NAOMBA TUIKEMEE KWA PAMOJA.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mkuu wee sugu.Me moja hua ina kaa ndani gari nikifika home nai acha kwenye dash board naingia ndani msafi kma WCB
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mkuu wee sugu.
Kama anaichambua simu yako mkuu muache aendelee tena mpe na ungo apepete kabisa!!Soma vizuri message uielewe mkuu, nimesema kila mmoja ana simu yake, yeye anaichambua simu yangu kama karanga, wakati wa usiku mie nikiwa nimelala, mimi mbona yake siikagui na sina muda nayo NB: simu hizi zishavunja ndoa nyingi, ukitaka kuzifuatilia kama, mko mke na mume, ndani ya nyumba.
Noma mkuu.Kama anaichambua simu yako mkuu muache aendelee tena mpe na ungo apepete kabisa!!
Ukimseμa ananuna hata papuchi upewi wiki nzima.Pole
Mkanye wa ubavu wako, hiyo tabia ni mbaya sana. Ni zaidi ya kujichungulia mwenyewe
Ukimsema ananuna.Ukimseμa ananuna hata papuchi upewi wiki nzima.
Ndo ulivyo mlea hivyo, ndo maisha gani sasa hayoUkimseμa ananuna hata papuchi upewi wiki nzima.
Ni ujinga, ubwege na uzembe kutoweka password kwenye simu uliyoisajili kwa jina lako....Mtu umelala usingizi fofofo, mwenzio awe mke/mume, anavizia simu yako anaanza kuichambua kama karanga, kwenye photo gallery, whatsapp, kwenye sms, unaamka asubuhi, gubu ugomvi maswali na majibu shortcut, hadi amani ndani ya moyo na rohoni hutoweka....Mie sipendi sipendi tena, sipendi tabia hii ife kabisa, ya kupeana stress, kila mtu na simu yake. Mie mbona yako siichunguzi, matatizo mengine ya kujitafutia bure, mie nimezowea amani sipendi maudhi na karahaa kiukweli leo nasema!!
Siku ukioa ndio itakuwaje sasa kama sasa hivi tu unaishi hivi?Kama ni picha kweye gallery hatokuta Kwa sabab naziweka kwene Calculator plus..yani palee akiona ni calculator na inafanya kazi kabisa ilaa kwne zile namba nkiandika password yangu kisha alama % inafunguka hidden gallery.
Kuhusu msj natumia PSB ambayo ina option ya kuficha msj za private contact. kuzifungua mpaka kwene dialer naweka pwd kisha nakua kama napga,huko unakuta msj kbaoo.
Whatsapp natumia GBwhatsapp ambayo ina option ya kuhide chats nsizotaka zionekane, akifungua tsap yangu atakuta chats za kawaida tuu, Ila kuna sehm ukitouch itahtaj pattern then hizo chats zinakuja.
NB: sijaoa badooo
Mchepuko wangu usije kukagua simu yangu... sipendi ufe kwa presha ujueNdo ulivyo mlea hivyo, ndo maisha gani sasa hayo
si nitatulia tuu na huyo mke ntakaemuoa,Siku ukioa ndio itakuwaje sasa kama sasa hivi tu unaishi hivi?
Sasa si umwambie ukweli kua upendi simu yako kupekuliwa. Naamin ataachaMtu umelala usingizi fofofo, mwenzio awe mke/mume, anavizia simu yako anaanza kuichambua kama karanga, kwenye photo gallery, whatsapp, kwenye sms, unaamka asubuhi, gubu ugomvi maswali na majibu shortcut, hadi amani ndani ya moyo na rohoni hutoweka....Mie sipendi sipendi tena, sipendi tabia hii ife kabisa, ya kupeana stress, kila mtu na simu yake. Mie mbona yako siichunguzi, matatizo mengine ya kujitafutia bure, mie nimezowea amani sipendi maudhi na karahaa kiukweli leo nasema!!