Bora nimetoa hisia zangu humu, nina imani Jf kuna washauri mbali mbali, wenye uelewa mpana.Haahahhaha sasa mkuu huyo MTU anayekukera hivyo humu yupo!?au ndo venye unapunguza gadhabu tuu!??
Yote ya nini hayo mkuu, unaweza kuua, na wewe ufie gerezani, una achana nae tu kama kazidisha kero, unatafuta jiko lingine unaweka ndani.Mkuu umgempa kelebu moja matata mixer mateke ya shingo na mbavu uwe unaweka pass word mkuu ila kipigo hakifundishi ni usugu waongezeka
Kwani ukiongea na mwanamke mpaka uchepuke mkuu, wakati mwingine unaweza, ukapanga nae hata dili la pesa, wivu wake tu.Kama bado unatamani kuchepuka bora tu usiingie kwenye Ndoa
Ubarikiwe sana.Dah! Hukulenga shabaha kwani kwa hapa ujumbe utakuwa not sent
Swadaktaaa.Hahaha hahaha hahaha sitafuti maradhi ya moyo ya makusudi simu yake ni yake na yangu ni yangu hamna kuchukuliana
Thanks.Say NO to political, social and mental slavery in Tanganyika.
Inakera na kupeana pressure tu.Hakika ni mbaya mpaka inakera
Mchepuko sio dili mkuu.ndo umwambie sasa,,,uckute hayupo humu
Sina mkuu.Sasa kwanini na wewe uwe na makando kando yote hayo.
Ya nini hayo yote, mtu unaejiamini aina aja ya Password.Suluhisho ni password tu mkuu..
Sasa anakasirika nini akishashika simu.Sina mkuu.
Ukorofi tu wee unadhani, ni nini.ni nini anachokitafuta huko simuni kwanza kama sio stress za kujitakia mwenyewe
Nimemsema sio kumwambia, na akanuna hamna papuchi wala nini wiki nzima, na kula nilisusa nyumbani, utapata raha gani ya kula, wakati mwenzio kakununia.umeshamwambia au unatufurahisha uku
Ya nini yote hayo ndugu, utakuja kufa bure kwa pressure.
Hila tu mkuu, mwenye hila yake haachi.Sasa anakasirika nini akishashika simu.
ukiwa na mchepuko usimpe namba ya simu unakutana nao tu physically... kusema hivi haina maana ninao.
NAOMBA TUIKEMEE KWA PAMOJA.Mtu umelala usingizi fofofo, mwenzio awe mke/mume, anavizia simu yako anaanza kuichambua kama karanga, kwenye photo gallery, whatsapp, kwenye sms, unaamka asubuhi, gubu ugomvi maswali na majibu shortcut, hadi amani ndani ya moyo na rohoni hutoweka....Mie sipendi sipendi tena, sipendi tabia hii ife kabisa, ya kupeana stress, kila mtu na simu yake. Mie mbona yako siichunguzi, matatizo mengine ya kujitafutia bure, mie nimezowea amani sipendi maudhi na karahaa kiukweli leo nasema!!
Gharama zote za nini mkuu, kwanza ndio atakuona unachepuka, pia na hiyo ataikagua tu wakati upo usingizini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]miliki Simu mbili mkuu moja public moja private , ukifika home private piga chini. Simple as ABC