Hii tabia inakera sana!!

Mkuu umgempa kelebu moja matata mixer mateke ya shingo na mbavu uwe unaweka pass word mkuu ila kipigo hakifundishi ni usugu waongezeka
 
Hahaha hahaha hahaha sitafuti maradhi ya moyo ya makusudi simu yake ni yake na yangu ni yangu hamna kuchukuliana
 
Wengine ujanja huo hatuna mkuu.
 
Ndio maana ckuiz kuna lock za vidole..hamna kumtajia pasword mke wako ni kosa kubwa sana kama unajijua bado hujasimama sehem moja
Mie hata password siweki mkuu.
 
ndo umwambie sasa,,,uckute hayupo humu
 
Acha kuchepuka
Mie niko ok mkuu, hila sema admin wa group la whatsapp, sasa sisi, madmin kuna majaribu wakati mwingine, tunakutana nayo, kutoka kwa dada zetu, inabidi kama upo kwenye ndoa yako, uyashinde mkuu.
 
Hapo sawa mkuu, nimekusoma.
 
Sasa kwanini na wewe uwe na makando kando yote hayo.
 
Suluhisho ni password tu mkuu..
 
ni nini anachokitafuta huko simuni kwanza kama sio stress za kujitakia mwenyewe
 
Sasa kama unapenda amani kwa nini ukose amani na simu yako?!Tatizo lipo!
Soma vizuri message uielewe mkuu, nimesema kila mmoja ana simu yake, yeye anaichambua simu yangu kama karanga, wakati wa usiku mie nikiwa nimelala, mimi mbona yake siikagui na sina muda nayo NB: simu hizi zishavunja ndoa nyingi, ukitaka kuzifuatilia kama, mko mke na mume, ndani ya nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…