Wewe usijali hilo, ndiyo gharama ya bia za ofa
Siku ukipata nguvu yako hama meza. Rahisi tu
Ishu nadhani sio pombe kwa sababu unywaji wao ni wa kiasi
Pili ni wazoefu wa vikao vya bar long time
Wewe ndo unawakera,waache wenyewe usikie kama watagombana,nenda kwa msichana wako au unavizia chabo.
Wewe ndo unawakera,waache wenyewe usikie kama watagombana,nenda kwa msichana wako au unavizia chabo.
Kwani mkuu wao wakigomabana na kuchafuana hali ya hewa wanakuharibiaje siku? Au niamini kuwa offer inaishia hapo?