GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,059
- 126,648
Kilichopelekea niandike kichwa hicho cha habari ni tabia Iliyojitokeza kwa shemeji yenu Mrs. Gentamycine ambapo amekuwa na katabia kapya ambako sikajui nani kamfundisha ambapo kila anapokuwa tu safarini kikazi zaidi ya wiki moja au wiki mbili akirudi tu lazima anipime Damu.
Kujua kama eti nina maambukizi ya VVU/UKIMWI. Hali hii sasa naona inaelekea kunishinda kwani matobo ya sindano katika mikono yangu na mikononi sasa yamezidi na kila mara nasikia maumivu hadi imefika muda sasa naomba Dua kwa Mungu asiwe anapata safari za kikazi kwani najua akisafiri tu akirudi mziki ni ule ule wa kuchanjwa kunipima HIV/UKIMWI
Naombeni msaada wenu jamani nifanyeje au nimfanyeje huyu shemeji yenu.
Nawasilisha