Tangu juzi nimejaribu kuupload vyeti kwenye website yao ambapo file linalotakiwa ni PDF cha kushangaza inakataa nakusema error upload PDF document wakati file lenyewe lipo katika mfumo huo wa PDF. msaada please kwa mwenye kuelewa.
Endelea kujaribu nami nilipata hilo tatzo lakin badae ikakubali. Pia hakikisha internet vizur. Mara nying usiku kama saa5 au 6 atmsphere inakuwa tulivu sana na netwok inakua less weighted
Endelea kujaribu nami nilipata hilo tatzo lakin badae ikakubali. Pia hakikisha internet vizur. Mara nying usiku kama saa5 au 6 atmsphere inakuwa tulivu sana na netwok inakua less weighted
This is your chance you have to take it with all of your resources..kupunguza idadi ya vyeti ni njia mojawapo japo sio nzuri sana..ushauri: vyeti vyako vimescaniwa kwa size kubwa sana..unaweza kuvrescan ukapunguza ukubwa na vyote vikawa na ukubwa chini ya 5mb