hii suruali ntamshonea mke wangu

Mimi ninachoshukuru ni huyu mama kuachana na lile wigi, kumbe hajambo kidogo!!
 
uyu mmama dah, ana sura mbaya kama ulivyo utendaji wake wa kazi.
 
Mheshimiwa spika kapendeza na mgeni wake
 
huyo waliye naye ni spika wa Rwanda Mh. Rose Mukantabana.
 
akivaa hicvyo sitembei naye atangulie tu tutakutana mbele ya safari
 
Mimi ninachoshukuru ni huyu mama kuachana na lile wigi, kumbe hajambo kidogo!!

JF ni kiboko!! inaibororesha jamii ya kitanzania, hata yule babu mkuu wa mkoa wa Dar alibadili uvaaji wake wa kuacha kifua nje nje.
 
hakuna kitu hapo,bora huyo wa rwanda wakuu,hukiwa na fikra za kifisadi/gamba hata sura inakuwa mbaya..
 
Mimi ninachoshukuru ni huyu mama kuachana na lile wigi, kumbe hajambo kidogo!!

M
ama hajambo sana, shida ianakuwa tu pale anapomwoa zito au tundu! Utasikia, lindu lisu kaa chini!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…