Agrey998 JF-Expert Member Joined Jul 8, 2019 Posts 418 Reaction score 554 Aug 11, 2022 #61 Hii imeletwa hapa kama majaribio asee. Mambumbu pekee ndio watafurahia we jiulize kama ni kitu kizuri kwanini wakatae ulaya AF huku wakibariki
Hii imeletwa hapa kama majaribio asee. Mambumbu pekee ndio watafurahia we jiulize kama ni kitu kizuri kwanini wakatae ulaya AF huku wakibariki
mpiga vichwa JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 2,547 Reaction score 4,013 Aug 11, 2022 #62 Wakati simba anaipigania nchi Yanga walikuwa kwenye kamati ya mapokezi. Sasa kelele zanini wakati kila mtu ana kitengo chake? Yanga mtaendelea na kitengo chenu cha kamati ya mapokezi huku simba akiendelea na mpira kama kawaida.Hilo halina mjadala Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Wakati simba anaipigania nchi Yanga walikuwa kwenye kamati ya mapokezi. Sasa kelele zanini wakati kila mtu ana kitengo chake? Yanga mtaendelea na kitengo chenu cha kamati ya mapokezi huku simba akiendelea na mpira kama kawaida.Hilo halina mjadala Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app