Hii style utachanika kunako

Hii style utachanika kunako

isije ikawa umeyakosa ndo mana

ningekuwa nimeyakosa nisingekuwa na ujasiri wa kuyasema yote hay,experience hiyo nimeipata wapi,ukiona hivyo ujue nina experience na yote hayo manene na membamba,na choice imebaki kuwa wembamba ni bora zaidi
 
Usiniambie unapenda mifupa...
 
Usiniambie unapenda mifupa...

kwani mimii mbwa?(im joking)
sio wembamba kabisa wenye nyama walau kidogo ila siyapendi mabonge nyanya (overweight) ngoja nikuwekee picha kwa maelezo zaidi

ak.jpg

sampuli kama hizo hapo juu!!
 
kwani mimii mbwa?(im joking)sio wembamba kabisa wenye nyama walau kidogo ila siyapendi mabonge nyanya (overweight) ngoja nikuwekee picha kwa maelezo zaidi View attachment 143516sampuli kama hizo hapo juu!!
Mwe kwahiyo wale chini ya hapo kama wakina flaviana matata....hawana soko kwako...
 
Mwe kwahiyo wale chini ya hapo kama wakina flaviana matata....hawana soko kwako...
Anaogopa chini ya hapo huenda na yeye ni mwembamba sana hivyo wakiwa wawili kitandani ugoko ukigongana inakuwa kelele kama glass zimegongana maana wote ni nyamaless
 
Anaogopa chini ya hapo huenda na yeye ni mwembamba sana hivyo wakiwa wawili kitandani ugoko ukigongana inakuwa kelele kama glass zimegongana maana wote ni nyamaless
Haahaaa nimecheka tu.....mwengine ndo stimu inapanda kwa mtindo huo....
 
Back
Top Bottom