Hii special kwa walimu

Hii special kwa walimu

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
537407_483818531657113_2062136872_n.jpg
 
Hawa mi sihangaikagi nao nawatangaziaga mapema ili nisibane kwenye usimamizi wachange buku mbilimbili afu wasichange sasa hata akiumwa na nnge mgongoni hageuki
 

I hate you!!!!!!!!!!
Kwanza kwa kunijua kiundani, lkn pili kwa kuniumbua hadharani.
Honestly zilikuwa zangu hizo lakini si chatting za simu coz hazikuwepo simu za mkononi wakati sijajitambua vizuri; badala ya simu zilikuwa ni novels. LOL
 
Mtu wa aina hii akikutana na usimamizi mkali kwenye mtihani lazima zombi litamhusu!
 
Hapa nitakachofanya ni kuwa na mtihani huo huo ila maswali nabadili namba, i.e. swali la kwanza kwa huyu ni la kumi kwa mwingine na pia nitakuwa na code za marking schemes kwa kila flow. Mbona sitahitaji hata usimamizi mkubwa kivile.
 
Back
Top Bottom