Ww hizi picha umezipata wapi kwani
Unafahamu zinakopatikana?Ww hizi picha umezipata wapi kwani
Zinapatikana hapo?nenda mlimani mall pale kuna duka la sim
Kuna jamaa anaziuza 90kHabari wana JF
![]()
![]()
Mwenywe speaker kama hii na anauza naomba aje pm au ambae anajua sehemu zinakopatikana
Asante ni.
Jamaa anakaa wapi mkuu?Kuna jamaa anaziuza 90k