Hii siyo ngeni kwetu

Mpagama

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
127
Reaction score
7
Kwa kiswahili cha mtaani inaweza kueleweka vibaya, lakini hasa ina maana gani ndugu zetu huko Kahama?
 

Attachments

  • 404756_499040926774698_665693569_n.jpg
    51.5 KB · Views: 268
Kwani hapa tatizo ni nini? Hujui kuwa neno moja lina maana tofauti katika lugha na sehemu tofauti? Nenda K'njaro uulize maana ya kinu? Hukusikia habari za mto Ngono kule Kagera? Uliwahi kusikia jamaa zetu wa Mahenge wanavyotumia neno kufira wakimaanisha kupenda na si kuharibu mtu? Wewe ungependa shule ya Ufala iitweje na kwanini? Je umetumia mantiki gani kuona ajabu kwenye jina la kawaida tu?
 
mimi baba yangu jina lake ni Francis, lakini tangu kuzaliwa kwake huitwa **** (Falansisi). Ufala kwa kisukuma wala sio tusi wala neno baya
 
ni kweli sio ngeni ilishatumwa sana humu
 
Kwa kiswahili cha mtaani inaweza kueleweka vibaya, lakini hasa ina maana gani ndugu zetu huko Kahama?

Hicho ni "kitenzi kikurupushi" na maana yake ni kama inavyoonekana
 
Ukisikia aiii! ujue limempata.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…