Just imagine, ile nyumba iko pale nyuma ya makaburi....ni fence tu ndiyo inayotenganisha na makaburi. Na nafikiri hata watu wanaokamatwa pale makaburini wakifanya mapenzi wanatoka kwenye lile jumba. Kwa kukosa nafasi wanakwenda kufilana makaburini, yaani juu ya kaburi la mtu.
Kanitumia
Mshana,mbona nguo sio asili yetu kiongozi?Halafu hiyo kweli ni afrika!Haya mambo hayakuwepo Africa tumekuwa tukiwaona wazungu ulaya ambako hata ushoga ni kitu cha kawaida
Pamoja saaana kiongozi.Me sjaelewa sawa sawa coz apo naona kavaa shanga na uvaaji wa shanga kwa africa ulianza bila hata ya wazungu. Halafu sisi wazee wetu waliziba kwa mbele tu makalio yote wazi si bora izo bikini zao zina kiuzi kinapita kwa nyuma..........
Laana mbaya sana pale makaburini watu wamepafanya ni gesti yao salama! Huwa najiuliza ni wazima kweli hawa ???