Mhdiwani
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 650
- 707
habari za asubuhi wadau,,
wakuu Jana sijalala kabisa na Leo hii nimeamka nikiwa na maumivu makali sana ndani ya moyo Wangu,,
Jana nilimpata msichana wa ku DO ,nakaanae nyumba moja sasa nilirudishia mlango tu kwasababu nilijua atakuja
ilipofika saa 6:23 usiku akaja na kanga moja ,,akalala kitandani akaniamsha nilivyoamka akanikumbatia,,
sasa wakati naanza na Mimi mambo yangu akaniambia tufanye haraka ili nirudi.
nikamueka vizuri lkn kabla sijafanya uume ukanywea , Hapo ndo vurugu zikaanza kwakweli nilishindwa nifanyaje,
binti akaondoka kwa hasira na kuniambia maneno kibao yakuudhi ,,asubuhi tena namsikia anaimba mafumbo ,.nakosa amani sijui ni tatizo gani naogopa kumuita tena ,
wadau nisaidieni kuhusu hili. je ni upungufu wa nguvu au ni nini , hua inanitokeaga lkn hua nalidharau ,,lkn hii jana hpn
asanteni wadau naamini mtanisaidia kimawazo au kama ni ugonjwa na dawa pia
Heshima kwenu
mficha maradhi mauti humuumbua