Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 20,280
- 50,096
Nasema weeeekaaaa kama unadhani unamkomoa huyo au unajikomoa mwenyewe
Weka uone atavyotumiwa nauli mara elfu ya hiyo ulotuma wewe
Weka uone atavyotumiwa nauli mara elfu ya hiyo ulotuma wewe
Naiweka soon sishindwi