Hii sio haki

Bro umepigwa kifala sana,usingefanya muamala ungemwambia akakope kama ni sacos au vikoba ukishamaliza ulilomuitia akupe bill yako.
 
Bro umepigwa kifala sana,usingefanya muamala ungemwambia akakope kama ni sacos au vikoba ukishamaliza ulilomuitia akupe bill yako.

Mm najua huyu hawez kububali achafuke naona amenitxt whatsapp sasa nasema hivi. Pesa irudi na riba ya 50 pasenti la sivyo nakuanika
 
Mkuu, mbona wengi tulusha umizwa na hata sisi tulisha waumiza...!!
Unadhani kila mmoja akisema aweke ya PM hapa hadharani, nani atabaki salama...??
Ebu kuwa na kifua chief, nivyema ukapuuza na samehe kwani huo mtonyo ulio mtumia bidada hauwezi ukamaliza shida zako.
Nakushauri achana na hizi mambo na jikite kwenye kutafuta pesa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2] nimecheka sana
 
Safi sana matapeli wamekua wengi sana hasa wanawake we tema pesa ya watu
 
Hahaha sio kwa kicheko hichoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…