Hii sio haki

Nampa masaa 12 asiporudisha hela naanika chat
 
Watakua wale wa magroup ya malaya huko insta, ilishanikutaga hii, Niligoma kutuma elf tano akachukua picha yangu akaipiga bonge la bandiko "MALAYA WA INSTA'' kaniambia nisipotuma hiyo 5k anaipost huko insta, Mbona niliomba pooo!
Malaya si unamtumia picha ya uongo tu mkuu.
 
Kwa hili povu mpenzi naomba agiza Fanta orange 😀😀😀
 
Asee ilo ni toto kweli kweli, nikikutana nae nauza tractor zangu zote,naenda kumjengea pembeni ya mlima Kilimanjaro!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…