We jamaa kweli kiazi tena kiazi mbatata
Tujuzane ile sinema fake imeishia wapi ilitambulishwa tarehe 02 mtu kujitangazia kavamiwa na majambazi 20( sasa sijui hii idadi yote walikua wanafanya maandamanocau laa cz hata bank haijawahi tokea ikavamiwa na idadi hii) Halafu wakawajeruhi ndugu zake (cha ajabu haikuoneshwa hata picha moja ya majeruhi) Halafu muhusika kajificha hawakumuona (duh idadi ya watu 20 wameshindwa kumuona mtu mmoja kwani hyo nyumba ilikuwa na mahandaki?) ifikie hatua watanzania tukatae kufanywa watoto na kama watu mziki umewashinda waache sio kutafuta kick kinamna hii kwa kutunga uongo ambao hata mtoto waiaka miwili humdanganyi kipindi wenzake wanajituma wao fitina na roho ya kwanini fulani afanikiwa walahi down fall r waiting for him na Level za Diamond wataishia kuziota
Mbona hatujaona majeraha wala mahojiano ya majeruhi zaid ya sauti ya ali kiba akipaka rang kwenye sinema yakeHahahaaa endelea kutapa tapaa kibaaaa ana wakimbizaaaaaaaa
Ata na mimi kwa taarifa yako ni miongoni mwa ndugu tuliopigwa na majambazi
Hutaki unaachaaaa
Mbona hatujaona majeraha wala mahojiano ya majeruhi zaid ya sauti ya ali kiba akipaka rang kwenye sinema yake
Kwa hiyo ulitaka majeraha yetu yarushwe instagram au jf? Ungekuja eneo la tukio uone kama wengine walivyo ona....
We jamaa kweli kiazi tena kiazi mbatata
Ebu na wewe muulize alitaka kila kitu kiwekwe insta sio lazma ka wao walizoea hata shati kuwekwa mtandaoni, hana hoja.
Maskini hadi nimeumia.
Yaani kijana mwenzetu unaandika hayo kwa kijana mwenzako??
Yaani ajisingizie kaibiwa ili ashindane nasanii mwenzake!!!?!
Nilisema mimi humu JF kuna washirikina wengi sana.
Yeye ni nani asiibiwe?
Tena kile kiazi kikuu.Hata hivyo usiumize kichwa huyu anajipoza maumivu jinsi Kiba anavyompa presha domo.
Chekecha Cheketua chekecha 😀😀