Hii simu imeganda, baadaye ikazimika kabisa

Dah! Ikipona utupe feedback mkuu ila ningekuwa mimi ningeitelekeza kutokana na uzoefu wangu kwa simu za Tecno.
Kuna jamaa angu hapa alikuwa na Tecno L9+ ya huohuo mwaka 2017, hivi majuzi imemfia ovyo hivyo hivyo amepambana imekaa km 90k ila hakuna kitu mwishowe kaitupa.
 
upo maeneo gani dsm. naweza kumuagizia ndugu yangu akaileta hapo uijaribu
Nipo maeneo ya Makumbusho.

Chukua betri la simu yako tumia kisu au chochote chenye ncha kusugua betri zile sehemu zinazong'aa sugua kila sehemu angalau sekunde 30. Rudishia kwenye simu cheki kama itawasha simu.

Au la chaji hilo betri kwa kobe. Njia moja wapo hapo itasaidia kuishtua simu.

Fanya hivyo halafu niambie kilichotokea.
 
SIMU imemezia hard reset anafanyaje mkuu!
Mwanzo ilikuwa inawaka na kuonesha logo, hard reset ndiyo ilikuwa suluhu hapo. Baada ya kuchokonolewa ndiyo ikazima kabisa, soma vizuri utaelewa. Mimi nililenga kipindi bado haijazima ila inaonesha logo tu
 
Sasa hiyo simu nayo ina App ya Carl care, fingua itakuonesha address zao kwa mkoa waliyopo
 
Tecno ni CALCULATOR iliyochàngamka sio simu
 
Mm ya kwangu nilinunua 2018 na ilikufa ivoivo mwezi wa tano mwaka 2020 , ilistack kwenye log nikatoa betri na kulirudushia ndo haikuwaka tena mazima ilikua ni tecno R6 lite
 
Mm ya kwangu nilinunua 2018 na ilikufa ivoivo mwezi wa tano mwaka 2020 , ilistack kwenye log nikatoa betri na kulirudushia ndo haikuwaka tena mazima ilikua ni tecno R6 lite
duh kwahiyo hukuhangaika nayo tena mkuu??
 
Mm ya kwangu nilinunua 2018 na ilikufa ivoivo mwezi wa tano mwaka 2020 , ilistack kwenye log nikatoa betri na kulirudushia ndo haikuwaka tena mazima ilikua ni tecno R6 lite
Huwa nanunua simu zilizozimika zisiwe tu zinechokonolewa na mafundi wasio na uelewa
 
Ungekua Dar tungefanya kitu.

Kama unaweza boost battery kisha washa simu. Ikishawaka kuishia kwenye logo siyo tatizo kubwa, tutasolve
kiongozi kuna kijana amefanikiwa kuiamsha imeamka now ipo vizuri ila sasa NETWORK haishiki hapo inakuaje sasa??
 
mkuu imefanikiwa kuamka lakini sasa network haina hapo inakuaje mkuu??
 
kiongozi kuna kijana amefanikiwa kuiamsha imeamka now ipo vizuri ila sasa NETWORK haishiki hapo inakuaje sasa??
Network haishiki huku line zinasoma? Au na laini hazisomi?

bonyeza *#06# angalia imei namba itakayotokea kisha angalia kama hiyo imei inaendana na imei utakayokuta nyuma ya simu ukishatoa betri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…