The Gustav railway gun, weighing in at 1,490 tons, is the largest-caliber weapon ever used in combat.View attachment 264046
Rejea kichwa cha Habari.
Pia ningependa kujua zaidi kama kuna ambaye ana more info kuhusu huo mtambo.
Imagine tungekuwa nao kipindiii kileeee Idd Amin Dada katuchokoza unafikiri Leo kungekuwa na Uganda?
ipo....ila inawasubilia UKAWA wakichukua nchi utaiona
Mkuu si ya kwetu hiyo. Na kama tungekuwa nayo lazima tungeiona ktk miaka 50 ya uhuru. Si unamjua JK kwa kuji proud.
Ingepita barabara gani mkuu? Tani 1400 ni sawa na kilo 1400000. Barabara zetu ukipitisha tani 200 ni shida.
Mkuu si ya kwetu hiyo. Na kama tungekuwa nayo lazima tungeiona ktk miaka 50 ya uhuru. Si unamjua JK kwa kuji proud.
Ajee aisee. Atuambie US ana kipi... Hicho kilikuwa cha mh. Hitler (Germany)Dotworld mzee wa vifaa vya vita tunaomba msaada wako.
Rudia tena? Hahaha acha utani mkuu.Hakuna silaha duniani inayoweza kupambana na nguvu ya UMMA.
My bad.Ingepita barabara gani mkuu? Tani 1400 ni sawa na kilo 1400000. Barabara zetu ukipitisha tani 200 ni shida.
Yap.Ni railway gun, inapita kwenye reli.Reli inaweza kubeba uzito mkubwa sana ingawa sijui limit halisi
Nani alikuambia kwenye maadhimisho kama yale silaha tunazotegemea huwa zinaonyeshwa!? Pale ni za kawaida tu.
Ni railway gun, inapita kwenye reli.Reli inaweza kubeba uzito mkubwa sana ingawa sijui limit halisi
Ikitokea maadui wamefanikiwa kuvunja kipande cha reli siju inakuwajeSilaha nyingi kubwa na immobile kama hizi huwa kazi yake kubwa ni kucreate fear kwa adui-nchi nyingi kubwa zimekuwa na silaha za mtindo huu just for intimidation-agile kwenye vita ndo mpango mzima
Mbona nackia ipo lugaro pale
Ukutani