mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 539
Kutokwa kwa mbegu za kiume wakati unakwenda haja kubwa sio tatizo
na wala sio maradhi. Inategemea hiyo haja kubwa anapoitowa huwa anaitowa kwa nguvu anatumia nguvu zake za
mwili kuitowa hiyo haja kubwa. Na ndio maana anatowa na mbegu zake za uzazi na hizo mbegu zake za uzazi ni madhii sio
manii. Madhii ni mbegu za uzazi zinatoka wakati wewe unapotoa haja kubwa kwa kutumia nguvu yaani una matatizo ya
kutopata choo laini ndio maana unakaa sana chooni kukitafuta choo wakati mwengine unatumia nguvu zako kukitowa hicho
choo ndio hapo unapotoa pamoja na madhii inatoka kwenye uume wako wewe Mwanamme. Na huku unashusha choo
kigumu, huyo jamaa yako ana matatizo ya ukosefu wa kutopata choo laini jaribu kumuuliza atakwambia ni kweli.
Angalia picha hapo. Na wakati Mwengine pia kutofanya tendo la ndoa muda mwingi pia kuna sababisha kutoa choo
pamoja na Madhii.
Samahani,ningependa kujua,una utalaam gani katika fani ya matibabu,kiasi cha kuweza kuuza dawa&kutibu wengine?Mimi nauza products za FOREVER LIVING kwa wateja wa products hizo. Leo nimefuatwa na mwanaume mwenzangu mmoja faragha, akaniomba nimsaidie dawa ya tatizo alilonalo.
Tatizo lake ni kuwa kila akienda haja kubwa lazima mbegu za kiume zitoke kwa wingi sana. Na baada ya hapo anakuwa Hana uwezo wa tendo la ndoa. Nimeshindwa kumsaidia. Ushauri wana JF
Sina utaalamu wa kutibu, wala mimi si mtaalam wa tiba. Products za FOREVER LIVING ni virutubisho, lkn mimi najihusisha zaidi na products za urembo za akina dada. Huyu mwenzetu aliposikia ninauza hizo product akaomba nimtafutie za kutibu Hilo tatizo lake kwa madai kuwa amesikia zipo. Sizijui ndio maana nikaomba msaada humu jamvini maana najua wapo wanachama wa foerever humuSamahani,ningependa kujua,una utalaam gani katika fani ya matibabu,kiasi cha kuweza kuuza dawa&kutibu wengine?
Hebu muulize alishawahi kuliwa 0713?Mimi nauza products za FOREVER LIVING kwa wateja wa products hizo. Leo nimefuatwa na mwanaume mwenzangu mmoja faragha, akaniomba nimsaidie dawa ya tatizo alilonalo. Tatizo lake ni kuwa kila akienda haja kubwa lazima mbegu za kiume zitoke kwa wingi sana. Na baada ya hapo anakuwa Hana uwezo wa tendo la ndoa. Nimeshindwa kumsaidia. Ushauri wana JF
Mmmmmmh! Ni mtu mzima kanizidi umri sana, sidhani nikimuuliza anawezasema ukweli, na Mimi sina ubavu wa kumuuliza swali kama hiloHebu muulize alishawahi kuliwa 0713?
Mmmmmmh! Ni mtu mzima kanizidi umri sana, sidhani nikimuuliza anawezasema ukweli, na Mimi sina ubavu wa kumuuliza swali kama hilo
Nakubali kaka. TUMNGOJE MziziMkavuJe huyo jamaa (au hata kama ni wewe) ana mke?? Je ni mda wa pu.nyeto?? Kama ni mdau mshauri aache mapema sana!!! Na kama hana mke aoe maana hiyo dalili si njema!! Kwa msaada zaidi tumngoje MziziMkavu hapa!!!
Nadhani huna ujuzi wala maadili katika fani husika. Hivi madaktari wangekuwa wanaleta siri
za wagonjwa wao huku JF ingekuwaje? Tena ummeleza wazi kuwa mgonjwa aliongea nawe kwa faragha! Lool!
hapana sijui chochote kuhusu hili aisee!!mimi49 unalijua hili?
Kutokwa kwa mbegu za kiume wakati unakwenda haja kubwa sio tatizoMimi nauza products za FOREVER LIVING kwa wateja wa products hizo. Leo nimefuatwa na mwanaume mwenzangu mmoja faragha, akaniomba nimsaidie dawa ya tatizo alilonalo. Tatizo lake ni kuwa kila akienda haja kubwa lazima mbegu za kiume zitoke kwa wingi sana. Na baada ya hapo anakuwa Hana uwezo wa tendo la ndoa. Nimeshindwa kumsaidia. Ushauri wana JF
Kaka nimekukubali. Huyu jamaa anasema Hilo tatizo la kupata haja kubwa analo sana kwani anaweza kukaa hata siku 5-6 bila kupata.Kutokwa kwa mbegu za kiume wakati unakwenda haja kubwa sio tatizo
na wala sio maradhi. Inategemea hiyo haja kubwa anapoitowa huwa anaitowa kwa nguvu anatumia nguvu zake za
mwili kuitowa hiyo haja kubwa. Na ndio maana anatowa na mbegu zake za uzazi na hizo mbegu zake za uzazi ni madhii sio
manii. Madhii ni mbegu za uzazi zinatoka wakati wewe unapotoa haja kubwa kwa kutumia nguvu yaani una matatizo ya
kutopata choo laini ndio maana unakaa sana chooni kukitafuta choo wakati mwengine unatumia nguvu zako kukitowa hicho
choo ndio hapo unapotoa pamoja na madhii inatoka kwenye uume wako wewe Mwanamme. Na huku unashusha choo
kigumu, huyo jamaa yako ana matatizo ya ukosefu wa kutopata choo laini jaribu kumuuliza atakwambia ni kweli.
Angalia picha hapo. Na wakati Mwengine pia kutofanya tendo la ndoa muda mwingi pia kuna sababisha kutoa choo
pamoja na Madhii.
mzizi unatisha mbaya!je wewe ni afordable mtu akitaka kukufanya kuwa mshauri/daktari wa afya wa familia?Kutokwa kwa mbegu za kiume wakati unakwenda haja kubwa sio tatizo
na wala sio maradhi. Inategemea hiyo haja kubwa anapoitowa huwa anaitowa kwa nguvu anatumia nguvu zake za
mwili kuitowa hiyo haja kubwa. Na ndio maana anatowa na mbegu zake za uzazi na hizo mbegu zake za uzazi ni madhii sio
manii. Madhii ni mbegu za uzazi zinatoka wakati wewe unapotoa haja kubwa kwa kutumia nguvu yaani una matatizo ya
kutopata choo laini ndio maana unakaa sana chooni kukitafuta choo wakati mwengine unatumia nguvu zako kukitowa hicho
choo ndio hapo unapotoa pamoja na madhii inatoka kwenye uume wako wewe Mwanamme. Na huku unashusha choo
kigumu, huyo jamaa yako ana matatizo ya ukosefu wa kutopata choo laini jaribu kumuuliza atakwambia ni kweli.
Angalia picha hapo. Na wakati Mwengine pia kutofanya tendo la ndoa muda mwingi pia kuna sababisha kutoa choo
pamoja na Madhii.
sasa huyo Rafiki yako au kam ndio weweKaka nimekukubali. Huyu jamaa anasema Hilo tatizo la kupata haja kubwa analo sana kwani anaweza kukaa hata siku 5-6 bila kupata.
Asante kwa ushauri wako ninaweza kuwa Mshauri wa wa Madkatari kama ulivyosema. Mamzizi unatisha mbaya!je wewe ni afordable mtu akitaka kukufanya kuwa mshauri/daktari wa afya wa familia?
sasa huyo Rafiki yako au kam ndio wewe
Mwenyewe mwambie ana matatizo ya kutopata choo laini ndio maana akienda choo kutowa choo
kikubwa inamtokea hiyo ya kutowa Madhii sio shahawa. Ajitibie tatizo la kutopata choo kilaini kwa wepesi huenda pia ana matatizo ya kuumwa na kichwa kwani kutopatachoo kwa njia ya wepesi kuna sababisha maradhi mengi mojawapo kuumwa na kichwa maradhi mengine ni
Bawasiri Hemorrhoids itafika wakati akienda choo atakuwa anatowa choo kikuwa na damu.
Asante kwa ushauri wako ninaweza kuwa Mshauri wa wa Madkatari kama ulivyosema. Ma
Daktari wengi hapo kwetu au hata ulaya huwa ukiwaeleza matatizo yako wanakusikiliza na kukupa Dawa hawataki kujuwa
chanzo cha matatizo ya maradhi yako ni nini? Mimi huwa ninapenda kujuwa kama unaumwa na kichwa nijuwe chanzo
cha maradhi ya kuumwa na kichwa ni nini ndio nikupe dawa sio tu umeniambia unaumwa na kichwa nikupe dawa
nitakuwa ninakuondosha njiani .Kesho utakuja tena kusema Dawa uliyonipa haijanisaidia kitu sijapona utaniambia
nimekupa dawa feki kumbe wewe unaumwa na kichwa hupati usingizi au hupati choo laini huwa sipendi kesi kama hizo
asante.
hapana sijui chochote kuhusu hili aisee!!