Hii Sijaipenda Sana.........................


Labda hao ndio waliotambuwa ushindi wake. Si tunajuwa kuwa kuna wengine hawakuutambua sasa kwa joto la vijana sifikiri kama watakwenda kumtembelea kwa maneno yao "mchakachuaji"
 

wamekaa kinjaa njaa tu. Kujikomba kwa sana.
 
Unaweza kuwa na ufunguo wa nyumba bila nyumba ukabaki kichekesho

Kiranga hii nimeipenda
 
Si ndo huyu huyu jamaa aliyewaasa wanavyuo wasijihusishe na siasa na wajizatiti na elimu?
kijana una kumbukumbu sana, kama atasoma huu uzi atakuja kutujibu siku moja
 
Mkuu Sikonge, hiyo picha ni ya nani?mbona kama siyo mtu wa kawaida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…