Sijui una umri gani kiasi uhofie vitu vya kipuuzi namna hii..,
umri sio tatizo kabisa kama mtu anakujali, kukuheshimu na kukusikiliza..
Kwani we unagegeda miaka yake, ujinyime raha ya moyo kisa umri, haya ndio unaoa chinj ya umri wako na hakuheshimu, kukusikiliza wala kukujali, katika mapenzi kuangalia umri hasa huo ni upuuzi.
Watu mliozidiana miezi mpaka miaka 5 ni rika moja tu, ama tunaweza kusema ni mchezo mmoja.
Tizama umri wa watu waliokuzunguruka katka mishe zako ambao ni kampani yako, mnayajenga pamoja, utapata jibu.
Uanaume ni pamoja na kufanga maamuzi ya kijasiri kwa ajili ya afya ya moyo wako tu.