Hii si kasoro kweli...πŸ™„

joma53

Member
Joined
Feb 5, 2021
Posts
73
Reaction score
55
Hi guys... hope mko POA!

Iko hiv kuna girl mmoja we are in love now! Yaan mapenzi moto-moto hadi shetani anaona wivu..

Tumepanga mipango mingi Sana kwa ajili ya future yetu..
Tuishi pamoja yaan Mke na Mme ..

Lakin...

Kanizidi umri.., about three months 😢😢

Sio parefu Sana?
Je siku akijua my real age itakuaje..?😱😱

Ukizingatia, I can't let her go,nampenda Sana..

NB:nili mwambia umri fake na till now hajajua bado..!

Kwenu_wajuvi
 
miezi mitatu nayo ni tatizo, muulize diamond na zari wamezidiana miaka mingapi mbona halikuwa tatizo
 
Uliendelea nae..?
Niliachana nae. Sasa mwanamke kanizidi umri wa nini sasaπŸ˜… kama umempenda alafu yeye huna uhakika kama anakupenda aisee fanya mpango wa kuwa na Mshiko wa kutosha. Siku akijua wewe ni mdogo wake na hela huna unaachika hiyo hiyo siku bro
 
Miezi 3 tuu mkuu mbona haina shida. Mimi ipo kwenye situation kama yako mpaka sasa hivi nipo dilema. Nipo kwenye mahusiano na mwanaume ambaye mwanzoni nilijua nimemzidi miezi 6 tuu nilikuwa comfotable sababu mwaka mmoja sikuona shida. Baada ya kuwa pamoja kwa miezi nane mapenzi yamekolea ndio nakuja jua umri wake sahihi ni kwamba nimemzidi miaka 2. Hapa nilipo hata sijui nimejua kipindi ambacho nimeshazama kabisa penzini sina maamuzi bado. So mkuu hiyo sio kasoro miezi 3 haina shida kabisa
 
Niliachana nae. Sasa mwanamke kanizidi umri wa nini sasaπŸ˜… kama umempenda alafu yeye huna uhakika kama anakupenda aisee fanya mpango wa kuwa na Mshiko wa kutosha. Siku akijua wewe ni mdogo wake na hela huna unaachika hiyo hiyo siku bro
Bado pagumu..
 
Duh!
Vp yeye baada ya kugundua umejua umri wake..iliendaje?
 
Duh!
Vp yeye baada ya kugundua umejua umri wake..iliendaje?
Aliniambia yeye mwenyewe ila kwa simu baada ya kuhamia mkoa mwingine kikazi ni baada ya process ya kunitambulisha kwa ndugu na wazazi wake kuanza so alijua ipo siku ningejua tuu uongo wake akajitoa muhanga. Kuna mdau kasema mwanamke akijua wewe ni mdogo wake anakuacha ni kweli mkuu kuna kitu moyoni unaona kabisa kinapwaya ingawa hatujaachana lakini kuna kitu kinamiss sana baada ya kujua ni mdogo kwangu kwa miaka 2.
 
MH! Aisee kete zote zamoto ,sijui nishike ipi..!😢
 
Kweli usemayo , lakin machungu..!
 
Unapendanaje na mtu halafu unashindwa kumwambia ukweli!??? Upendo huo labda uko Planet Mars tyuuu. Unavyopalilia uongo moja leo, jiandae -- katika maisha yenu ndoani -- kuishi kwenye ranches, plantations, mashamba & bustani za UONGO!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…