Hii shida ya maji jamani, sijui mpaka lini?

Mambo ya uswahilini hayo nyumba za kupanga .
Hapo usikute kamwona mpangaji mgeni ambaye ni bachela ... Unaamvutia ndani tu kimoja fasta
Kabisa Nyumba za kupanga zinaongoza kwa michepuko Yale mazoea ya ukaribu lazma watu wapeane utamu daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…