Hii sheria ni sahihi kweli?

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Rafiki yangu akiwa kazini, huku nyumbani mijamaa ikaingia kwake na kuiba TV yake,

Kufanya utafiti mwizi kakamatwa, kesi ikaunguluma, na hukumu ikatoka kuwa mwizi afungwe miaka 3 na akitoka anunue TV amlipe mdai,

Je, ni sahihi mpaka atoke ndo amlipe, ni kwanini asiuze mali zake akanunua kabla ya kifungo

Akitoka atakuwa ana shughuli gani ya kumuwezesha kununua hiyo TV?, na mdai aendelee kusubili mpaka miaka 3 iishe kweli au afanyeje?

Sheria hii iko sawa?
 
Kaitaba kiswahili chako ulijifunzia wapi? Kusubili au kusubiri? Ikaunguluma au ikanguruma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…